welcoe note

maths

Monday, March 16, 2015

MABWENI YA MOBIBO HOSTEL YATEKETEA KWA MOTO

Bweni la wanawake katika hostel ya mabibo maarufu kwa jina la Block B limeteketea kwa moto, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana

Jitihada za kuudhibiti moto huo uliowakumba wakzi hoa kwa kushirikiana na wakazi wa Block nyingine ziliendelea na kufanikisha kuupunguza makali ya moto huo
Kikosi cha zima moto kilifika katika enoe la tukio na kumalizia kazi iliyofanya na wakizi wa mabibo hostel katika jitihada zao za kuudhibiti moto huo.
picha kwa hisani ya http://www.lindiyetu.com

picha kwa hisani ya http://www.lindiyetu.com
Moshi ukiendelea kufuka katika eneo la Block B

Saturday, March 14, 2015

pi day yafana katika viwanja vya mnaz mmojasafari ya kuelekea mnazi mmoja

Mathematician Moses BarakaJoseph Jumbe na Focus Erasto

Focus Erasto na Kyojo Erick wakipewa maelezo fa namba

maelekezo ya jinsi ya kupata pai yakitolewa


mwanafunzi wa akionyesha kwa vitendo jinsi ya kupata paihistori of pi day
Today is 3-14-15, or the first five digits of the mathematical constant Pi: 3.141592653. This is why people will be walking around circular rooms, eating lots of pies and trying to memorise a few of its digits.
Pi equals the distance around a perfect circle, or circumstance, divided by the distance across it, or diameter. It's used to calculate the area of a circle, the volume of a sphere, and a whole host of other mathematical equations we won't even go into.
So where did Pi day come from? Larry Shaw, a physicist from San Francisco, who first conceived of Pi day in 1988. He enlisted a bunch of fellow math enthusiasts, and together they marched around a circular room, feasting of pies, in celebration of the world's best known mathematical constant.
Since then, it's gone mainstream, finally becoming official in 2009 after a resolution was passed by the US Congress. This stipulated March 14 would be a day for “schools and educators to observe the day with appropriate activities that teach students about Pi and engage them about the study of mathematics.”
But how did the "e" creep into the equation? We've got no idea - and there's no etymological relationship here. While Pi is the 16th letter of the Greek alphabet, pie originated in England, and referred to pastries and magpies. Nonetheless, they sound similar and they're both round, and if that's good enough for the world's top math whizzes, it's good enough for us.

 

Monday, May 26, 2014

KUKUMBUKUMBU YA KIMICHEZO KATI YA KISANGA CHUO CHA UALIMU NA MHONDA YALIFANYIKA KATIKA CHUO CHA UALIMU MHONDA


MAPENDEKEZO YA KUPUNGUZA TATIZO LA KUTOJUA KUSOMA NA KUANDIKAIli kuweza kupunguza au kuondoa tatizo hili kabisa inapaswa yafuatayo yazingatiwe:-
Wazazi na walezi kwa kushirikana na walimu hawanabudi kuthibiti utoro wa wanafunzi kwa kuweza kuwapa motisha wale wanafunzi ambao wanahudhuri vizuri na kujitahidi hii itawasaidi wanafunzi ambao wanatoroka kuaacha kwa ajiri na wao kupewa motisha pia wazazi wahakikishe watoto wao wanakwenda shule na sio kuwabakiza nyumbani ili kufanya kazi za nyumbani au shambani. Hivyo basi katika hili serikali wa kijiji na balozi wa shina/wa nyumba kumi ahakikishe watoto  katika eneo lake watoto wate wanakwenda shule na kuwachukuli hatua wazazi nawelezi wote ambao kwa namna moja au nyingine wanawazuia watoto wao kwenda shule.
Serikali iboreshe miuondombinu shuleni hasa vijijini ili kuweza kuwavutia walimu kufanya kazi katika maeneo hayo hii itasaidia kupunguza tatizo la walimu ambao hukimbia vituo vya kazi kutokana na miundombinu mibovu, pia serikali iboreshe madarasa, na ihakikishe kuwa kila mwanafunza anakaa kwenye dawati ili kuwawezesha wanafunzi wajifunze katika mazingira mazuri.
Pia mafunzo kwa walimu walio makazini yaendeshwe mara kwa mara hasa kwa wale walimu wanofundisha stadi za kkk yaani kuandika kusoma na kuhesabu hii ni kutoka na kubadilika na kugundiliwa na njia bora za kufundisha na kujifunza.
Walimu waweze kujenga mahusiano mema na wanafunzi wao na kuona kuwa wao pia ni  walezi ili kuweza kurahisisha tendeo zima la ufundishaji na ujifunzaji nah ii itasaidia wanafunzi kutowaogopa wanafunzi waoWednesday, May 7, 2014

CHUO CHA UALIMU MHONDA KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU WA AFYA CHA TOA HUDUMA KWA JAMII TAREHE 30/11/2013

chuo cha ualimu mhonda tarehe 30/11/2013 kwa kushilikiana na wataalamu wa afya walitoa huduma kwa jamii inayoizunguka chuo
wataalamu wa afya wakisalimiana tayari kuanza kazi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi wanaokizunguka chuo cha Ualimu Mhonda

wananchi wakisubiri Maelekezo kutoka kwa Mtaalamu wa afya. aliyefika kwa ajili ya kutoa huduma hiyo
Mwandishi wa blog hii Moses B aliyesemama kushoto akiwa na katika picha ya pamoja na wajumbe waliohusika katika kutoa huduma ya afya katika chuo cha Ualimu Mhonda

Tuesday, March 11, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANAFANA KATIKA CHUO CHA UALIMU MHONDA

bango likionekana katika geti kuu la chuo cha Ualimu Mhonda

Ukumbi ukiendelea kupamba katika siku hiyo

Maandalizi ya msosi uliotumika siku hiyo

wafurahi kwa furaha

wanachuo wakijipanga tayari kwa maandamano

Mkuu wa chuo akijiandaa kupanda mti wa kumbumbu katika siku ya wanawake

Mkuu wa chuo akipanda mti

nderemo na shangwe zikiendelea katika viwanja vya  chuo cha ualimu Mhonda


Michezo maalumu wa mpira wa pete ulichezwa na ilikuwa ni moja ya burudani katika siku hiyo


Maonesho ya mavazi yalipamba vyema siku ya wanawake duniani katika ukumbi wa chuo cha Ualimu Mhonda
wakifurahi pia hawa ni wanachuo wa chuo cha ualimu Mhonda